1) Ana boreka haraka – Wanawake wanaoboreka haraka
nirahisi kutafuta mwanaume mwingine wa kum-entertain, muda sio mrefu
huyo mwanaume atachoka kum-entatain rafiki asiye na faida na ndio hapo
atakapo anza kudai faida zake na wanaishia kuwa friends with benefits.
2) Marafiki wengi wa kiume – Mwanamke mwenye
marafiki wengi wa kiume ni rahisi ku-cheat kwasababu anapata muda mwingi
wa kuongea na wanaume wengine, watamsifia anavyopendeza, kama wewe
unamwambia amependeza mara moja kwa wiki basi wenzako watamwambia
anapendeza kila wanapoonana. Wataabza kumtoa out na mwisho wake ataona
hao wanaume wamanjali kuliko wewe na kulala nao.
3) Anapenda attention – Wanawake wanaopenda
attention ni rahisi kudanganyika. Wanaume wengi hasa ambao hawataki kuwa
committed kwenye mahusiano yoyote wanatoa sana attention kwa wanawake.
Mwanamke anayependa sana attention hawezi ridhishwa na attention ya
mwanaume mmoja.
4) Anapenda vitu “material things” Wanawake wengi
wanaopenda material things wanashindwa kupata kila kitu kutoka kwa waume
zao au maboyfriend zao na kuishia kutafuta mwanaume mwingine ambaye ana
uwezo wa kumnunulia vitu anavyotaka ili awatese wenzake kwenye
instagram.
5) Ana marafiki ambao ni michepuko – Umeshasikia
usemi kuwa ndege wanaofanana huruka pamoja, hata kama demu wako hana
tabia ya ku-cheat, akiwa anakaa sana na marafiki ambao wana-cheat na
yeye atashawishika kujaribu. Kama mke wako au demu wako ana kupigia
story za marafiki zake wanao-cheat mwambie aachane nao haraka sana.
6) Anapenda kufanya ngono kuliko wewe – kila
mkimaliza kufanya tendo la ndoa mwenzako anakwambia anataka tena, na
wewe humtimizii basi lazima tatafuta serengeti boy ambaye anamsikiliza
na kumpa anachotaka.
7) Anaujuzi kitandani kuliko wewe – Wewe kama
umeshawahi kuingia kwenye dancing floor na kucheza na mtu ambaye anajua
kucheza kuliko wewe, unasubiria tu wimbo ukiisha ukakae chini kabla
hujaaibishwa, au kama wewe ndio unayejua kucheza vizuri utatafuta mtu
mwingine anayejua kucheza kama wewe. Kwenye tendo la ndoa ni hivyo hivyo
kama mwenzako ana ujuzi kuliko wewe, inabidi ufanye mazoezi ufikie
kwenye ujuzi wake la sivo muda sio mrefu atasubiri wimbo ukiisha akakae
chini au atafute mtu mwingine anayejua kucheza kama yeye.
Demu wako au mchepuko wako una tabia moja wapo kati ya nilizozitaja hapo juu? Usisite kuacha comments hapo chini.

0 COMMENTS:
Post a Comment