Showing posts with label NATAFUTA MPENZI/RAFIKI. Show all posts
Showing posts with label NATAFUTA MPENZI/RAFIKI. Show all posts

April 13, 2015

NATAFUTA MWENZA/MPENZI MWENYE MAPENZI YA DHATI

Hi | 11:34:00 AM | | Be first to comment
Tommy Evosy shuma Elivosy (+255) 655063509 Naitaji mwanamke mwenye mapenzi ya dhati Mkoa wa Arusha.


Naitwa juma natafuta mpenzi wakike umri kuanzia miaka 20 hadi 25 kabila lolote anaejua kupenda na kujali contact zangu ni 0717699252 email ni jumamruma52@gmail.com awe Mwanza.
 



February 18, 2015

JINSI YA KUGAWANYA MALI KATI YA MUME NA MKE

Hi | 8:15:00 PM | | | Be first to comment
NDOA inapovunjika kuna kuna mambo makuu matatu ambayo hutokea kutokana na ndoa hiyo kuvunjika. Kwanza ni kugawana mali walizochuma wanandoa, pili hifadhi ya watoto na tatu matunzo ya watoto. Haya ni matokeo ya kuvunjika kwa ndoa, mengine zaidi kuhusu kuvunjika kwa ndoa tutayaona hapa wakati nikieleza mgawanyo wa mali za wanandoa. 

1.MALI ZIPI HUTAKIWA HUGAWANYWA NDOA INAPOVUNJIKA? Ndoa inapotangazwa kuvunjika, mali ambazo hupaswa kugawanywa ni mali za wanandoa wenyewe. Swali mbele yetu ni kuwa ni zipi mali za wanandoa? Mali za wanandoa ni zile zote zilizochumwa na wanandoa hao kwa jitihada au juhudi za pamoja wakati wa ndoa yao. Mali hizo zaweza kuwa zinahamishika au hazihamishiki. Mali zisizohamishika ni kama nyumba, viwanja, mashamba n.k. Mali zinazohamishika ni kama magari, baiskeli, pikipiki,vifaa vya ndani kama fenicha, fedha benki, na mali nyingine ambazo hazionekani kwa macho au hazigusiki kama hisa n.k. Zingatia sana usije kudhulumiwa kwa kuwa hata hisa pamoja na akiba ya fedha benki nayo ni mali inayostahili kugawanywa. 

NAFASI YA NDUGU KATIKA MAHUSIANO

Hi | 8:06:00 PM | | | Be first to comment
TAMADUNI za kiafrika, zimeleta athari kubwa sana katika jambo hili, ingawa katika hali ya kawaida, linatazamwa kama ni dogo, lisilo na athari, tofauti na uhalisia wake. Watu wanaliona ni suala la kawaida, la kupuuziwa tu, wakati kiukweli, linatakiwa kutazamwa kwa macho yote.

Kimila, kimazoea na kiutamaduni imetufanya kulifanya jambo hili kuwa la kifamilia. Ndugu wamekuwa na nguvu kubwa katika uhusiano wetu. Ni ngumu kwa mfano, kuwa na rafiki anayeelekea kuwa mke au mume, pasipo uhusika wa ndugu zako. Kama ni msichana, atawajua wifi zake, shemeji zake, wakwe zake na ndugu wengine wa karibu, sawa sawa na itakavyokuwa kwa mvulana, kwani naye ataanza kuonyeshwa shemeji zake, wakwe zake na kadhalika.

Hili ni jambo la kawaida kabisa na linasaidia sana kuboresha uhusiano wa wapendanao. Kwa sababu wapenzi wakishafikia hapa, inapotokea kamgogoro kadogo, ni rahisi shemeji, wifi au ‘mkwe’ kuhusishwa. Mkwe anayehusishwa hapa mara nyingi siyo mzazi moja kwa moja, bali ama huwa baba au mama mdogo na kadhalika.

January 24, 2015

TABIA 7 ZA WANAWAKE WANATOKA NA WANAUME WENGI

Hi | 3:59:00 PM | | | | Be first to comment
1) Ana boreka haraka – Wanawake wanaoboreka haraka nirahisi kutafuta mwanaume mwingine wa kum-entertain, muda sio mrefu huyo mwanaume atachoka kum-entatain rafiki asiye na faida na ndio hapo atakapo anza kudai faida zake na wanaishia kuwa friends with benefits.
2) Marafiki wengi wa kiume – Mwanamke mwenye marafiki wengi wa kiume ni rahisi ku-cheat kwasababu anapata muda mwingi wa kuongea na wanaume wengine, watamsifia anavyopendeza, kama wewe unamwambia amependeza mara moja kwa wiki basi wenzako watamwambia anapendeza kila wanapoonana. Wataabza kumtoa out na mwisho wake ataona hao wanaume wamanjali kuliko wewe na kulala nao. 

3) Anapenda attention – Wanawake wanaopenda attention ni rahisi kudanganyika. Wanaume wengi hasa ambao hawataki kuwa committed kwenye mahusiano yoyote wanatoa sana attention kwa wanawake. Mwanamke anayependa sana attention hawezi ridhishwa na attention ya mwanaume mmoja.
4) Anapenda vitu “material things” Wanawake wengi wanaopenda material things wanashindwa kupata kila kitu kutoka kwa waume zao au maboyfriend zao na kuishia kutafuta mwanaume mwingine ambaye ana uwezo wa kumnunulia vitu anavyotaka ili awatese wenzake kwenye instagram.

February 22, 2014

NATAFUTA RAFIKI WA KALAMU POPOTE ALIPO

Hi | 2:25:00 AM | | | Be first to comment

NAITWA MUKTARI NAISHI TANDAHIMBA NA UMRI WANGU NI MIAKA 22, NATAFUTA RAFIKI WA JINSIA YA KIKE KWA AJILI YA KUCHAT NA KUBADILISHANA MAWAZO KUANZIA UMRI WA MIAKA 15 MPAKA 19, ASISITE AWASILIANE NAMI KUPITIA NAMBA ZANGU ZA SIMU YA MKONONI 0659 333450 TUMA SMS NTAJIBU KWA HARAKA SANA.

January 7, 2014

USIPOTEZE MUDA KWA MTU AMBAYE MOYO WAKO UNAMKATAA

Hi | 6:33:00 PM | | | Be first to comment
MAPENZI ni maisha ya kawaida ambayo wawili wanaotamkiana kupendana wanaishi. Kutamkiana kwa sababu si kila kitokacho kinywani kinaweza kuwa na maana ileile ya moyoni. Dhana nzima ya mapenzi haina urafiki na maigizo. Waigizaji hufeli katika kipengele cha uhusiano.

October 23, 2013

NATAFUTA MWENZA/MPENZI/RAFIKI WA KALAMU NA KUCHATI

Hi | 3:02:00 PM | | | | Be first to comment
pole kwa kazi ngumu ya ujenzi wa taifa kwanza naanza kutoa langu la moja kwaniaba ya (JAMESI, DOTTO .)anamtafuta mpwa wake anayefahamika (MATIAS.MIPAWA .JAMESI.)aliondoka mwaka .2001.shinyanga .wilaya.maswa akidai anaelekea masasi popote pale alipo kama akiweza kusoma uk.yoyote tuwasiliane kwa namba (0752710828,0767113924.asanteni  

Geofrey wa dar nina miaka 24 natafuta girlfriend awe na miaka 17~21 awe mnene kiasi awe anakaa dar nitafute kwenye 0783562785.

NATAFUTA RAFIKI WA KIKE (MCHUMBA) , ALIYE SERIOUS. Mimi ni kijana mvulana, wa kitanzania kutoka mkoa wa mbeya. Nipo serious katika swala hili. Natafuta rafiki wa kike kwa urafiki utakaoishia kwenye uchumba kisha ndoa kama tukiridhiana na kukubaliana . Nahitaji mtu ambaye pia yupo serious katika swala hili vinginevyo kama haupo serious kaa pembeni maana sipendi kupotezeana muda. WASIFU WANGU: UMRI WANGU: miaka 28 DINI YANGU: mkristo SINA MTOTO, SIJAWAHI KUOA. MWONEKANO WANGU: Mimi ni mweusi kiasi, mwembamba, sio mfupi sana wala sio mrefu. Mambo mengine kuhusu mimi nitamweleza muhusika baada ya kuwasiliana. WASIFU WA MSICHANA NINAYEMUHITAJI: UMRI WAKE: asizidi miaka 23 DINI YAKE: mkristo ELIMU YAKE: yoyote KAZI YAKE: mwenye kazi au asiye na kazi. MWONEKANO WAKE: awe na umbo la wastani (asiwe mnene sana wala mfupi sana). MUHIMU ZAIDI: awe mweupe na awe asili yake mikoa kati ya Dar, Moro, Iringa au mbeya

Natafuta rafiki wa kuchat hasa wadada 0786237866

Naitwa frank,natafuta rafiki wa kuchat hasa wakike 0786237866

July 15, 2013

NAHITAJI MUME ALIETAYARI KUFUNGA PINGU ZA MAISHA AWE TAYARI KUPIMA UKIMWI

Hi | 3:53:00 PM | | Be first to comment
 
KWAJINA NAITWA MAGDALENA UMRI 29,ELIMU YANGU KIDATO 4,NAHITAJI MUME ALIETAYARI KUFUNGA PINGU ZA MAISHA,AWEMKRISTO,UMRI KUAZIA MIAKA30.SINA MTOTO NASIJAWAHI KUOLEWA.SIHITAJI SMS MWENYENIA NA MIMI APIGE.SIMUHITAJI MBABAISHAJI NATAKA MUME WAKUFUNGA PINGU ZA MAISHA
.SIPENDI TABIA YAKUCHEZEANA,AWETAYARI KUPIMA UKIMWI,ANAE JUA UPENDO WADHATI TOKA MOYONI MAWASILIANO {0766234794} NAISHI WILAYANI MASASI MKOANI MTWARA.USUMBUFU SIPENDI KAMA HUNANIA NA MIMI

naitwa ibrahim haji nipo zanzibar natafuta marafiki namba zangu ni 0773406282

July 2, 2013

MABINTI WALIO TAYARI KUINGIA KWENYE NDOA CHANGAMKA FARAJA IMEKUFIKIA ULIPO

Hi | 1:15:00 AM | | | Be first to comment
NATAFUTA RAFIKI WA KIKE KUTOKA MBEYA VERY SERIOUS.

Mimi ni kijana ( mvulana) wa kitanzania mwenye umri wa miaka 28. Ni mwenyeji wa mkoa wa Mbeya lakini kwa sasa naishi nje ya mkoa wa Mbeya ambako natafuta maisha. Dini yangu mkristo (Moravian), nipo singo, sina mototo, sijawahi kuoa. Mwonekano wangu wa nje ni; mweusi, mwembamba, sio mrefu wala sio mfupi sana. Situmii pombe wala sigara.

Nipo serious katika swala hili. Natafuta rafiki wa kike kwa uhusiano serious utakaoishia kwenye ndoa na kuanzisha familia kama tukiridhiana na kuelewana. Nahitaji msichana mstaarabu na anayejiheshimu aliyetayari

May 8, 2013

MAPENZI YAMEKUWA YAKICHUKUA NAFASI KUBWA SANA KATIKA MAISHA YETU, FANYA HAYA KAMA UMPENDA MTU MWENYE MPENZI WAKE

Hi | 2:50:00 AM | | | Be first to comment
Tumshukuru Mwenyezi Mungu ambaye ametuwezesha kuonana tena wiki hii tukiwa wazima. Lakini pia tumshukuru kwa kutuletea kitu kinachoitwa mapenzi.

Mapenzi yamekuwa yakichukua nafasi kubwa sana katika maisha yetu ya kila siku na yamekuwa yakichangia kwa kiasi kikubwa furaha kwa kila mtu.

Kama huamini, angalia wale waliotokea kupenda na wao wakapendwa, utabaini nyuso zao zimetawaliwa na
furaha isiyo na kifani. Lakini mapenzi hayo hayo yamekuwa ni chanzo cha vilio kwa baadhi ya watu.

WANAUME HUPENDA KUOA MWANAMKE WA AINA GANI..!

Hi | 2:44:00 AM | | | Be first to comment
Mimi namshukuru Mungu kwa kuweza kunikutanisha na nyinyi kupitia safu hii ambayo pamoja na mambo mengine nazungumzia juu ya mada mbalimbali ambazo zinagusa maisha yetu ya kila siku.
Wiki hii nitazungumazia juu ya aina ya wanawake ambao wanaume wengi hupendelea kuoa. Wanaume wengi wanapofikia hatua ya kuoa
si kwamba wanakurupuka tu na kuoa mwanamke yeyote mwenye sura nzuri, bali huchukua muda wao mwingi kuchunguza mambo mengi juu ya wake ambao wanadhani kwamba wanaweza kuwa pamoja kwa kipindi chote cha maisha.

April 29, 2013

UNAFIKIRI NI KWA NINI BINADAMU ANALIA AKIWA MTOTO MCHANGA HADI ANAPOKUWA MTU MZIMA TOFAUTI NA WANYAMA WENGINE?

Hi | 12:24:00 AM | | | Be first to comment
Unafikiri ni kwa nini binadamu analia akiwa mtoto mchanga hadi anapokuwa mtu mzima tofauti na wanyama wengine?
Wanasayansi waeleza
Watafiti wa  nchini Ujerumani walifanya utafiti kuhusu kulia na kubaini kuwa wanawake hulia kati ya mara 30 hadi 63 kwa mwaka na wanaume hulia mara 6 hadi 17 kwa mwaka.
Wanaume hulia kwa dakika mbili hadi nne wakati wanawake hulia kwa zaidi ya dakika sita.
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Tiba cha Muhimbili, Dk Kitila Mkumbo anasema kitendo cha kulia kinatokana na mifumo ya hisia.
Anasema binadamu huweza kulia kutokana na hasira, maumivu au furaha.

April 23, 2013

USHUHUDA WA KUTISHA “NIMEAMBUKIZA MAELFU YA WATU VVU KATIKA JIJI LA DAR”

Hi | 4:55:00 PM | | Be first to comment
Mimi ni Jane naishi mwenge Dar es salaam naomba utalifuta jina la baba yangu maana sitaki liwe kwenye blog watu watanijua na kuniangamiza maana nimeshawaangamiza wengi sana kwa UKIMWI ila mengine yote usifute hata moja ili dunia ijue tu japokua mimi nitakufa kwa huu ukimwi nilionao.

Nilizaliwa mkoa wa Dodoma na nilishi vizuri tu tangu utotoni na hata sikujihusisha na ngono hadi nilipomaliza form 4 mwaka 2006 baada ya kumaliza nilikuja hapa Dar kuishi kwa mama mdogo aliyeolewa hapa Mwenge.

Nilipata marafiki wengi tu na kuna kijana mmoja alinitongoza kwa muda mrefu sana na siunajua vijana wengi hutumia muda mrefu kutongoza ili msichana unadhani kwamba labda huyo anakupenda kumbe anataka tu ngono na wadada wengi sana hudhani kufuatiliwa kwa muda mrefu na mvulana basi huyo yuko serious kumbe hakuna lolote.

April 17, 2013

NATAFUTA MUME MWENYE DIGREE MBILI ANIOE KABISA

Hi | 11:37:00 PM | | Be first to comment
Habari zenu wanajamii.
Jamani maisha ni safari ndefu na inahitaji uvumilivu na ujasiri. Nimetumia ujasiri wangu kwa kujitokeza katika jukwaa hili ili kuweza kupata mwenza ambae atakuwa mume kama Muumba akibariki. Kwa aliye na nia ya dhati haswa naomba tuwasiliane kwa private message.

Sifa zangu
Umri: Miaka 30
Umbo:Ni wa kawaida sana, na kwa wale wanopenda makalio makubwa, mimi sina jamani, ni bora kuwa mkweli!


Urefu: Centimeter158
Rangi: Maji ya maharage
Elimu: Degree mbili
Kazi: Muajiriwa wa serikali

April 15, 2013

ACHEZEA KICHAPO KIKALI HADI KUNG'OLEWA MENO KISA AKUTWA AKITONGOZA MKE WA MTU

Hi | 5:35:00 PM | | | Be first to comment
Katika halisi isiyokuwa ya kawaida na kuhudhunisha kijana mmoja makazi wa Kariakoo Jijini Dar hivi karibuni alichezea kichapo hadi kung'olewa meno kisa mke wa mtu.

April 10, 2013

TABIA ZIFUATAZO ZINAZOSABABISHA KWENDA NJE YA NDOA

Hi | 12:03:00 AM | | Be first to comment
Inasemekana wanawake wengi wenye ndoa wanakuwa na tabia zifuatazo zinazosababisha waume zao kwenda nje ya ndoa na wale wasio na tabia ya nyumba ndogo wanaishia kubakwa na waume zao
Mwanamke asiyemtamkia kabisa mumewe kuwa anajisikia kuwa naye.
Mwanamke ambaye baada ya mechi huwa haonyeshi dalili yoyote kama ameridhika na tendo au hakuridhika
Mwanamke ambaye akiwahi kulala yeye mume akija hataki kuguswa

April 3, 2013

MWENYE UPENDO WA DHATI NA ALIYE TAYARI KUINGIA KWENYE NDOA VIJANA SIWAHITAJI

Hi | 9:52:00 PM | | Be first to comment
NAKUOMBA KAKA NIWEKE KWENYE BLOG YAKO.
NAHITAJI JIBABA MWENYE ZAKE,ALIE NA UPENDO WADHATI NA ALIYE TAYARI KUINGIA KWENYE NDOA, AWE TAYARI KUPIMA UKIMWI KWANI VIJANA SIWAHITAJI TATIZO NI WAONGO SANA,SINA MTOTO,SIJAWAHI KUOLEWA,ELIMU YANGU KIDATO 4. MAWASILIANO 0766234794 KWA ALIYE TAYARI MBABAISHAJI SIMUITAJI.

March 31, 2013

TASWIRA YA MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA NAIROBI AWAAMBUKIZA "UKIMWI" WANAUME 322

Hi | 11:58:00 PM | | | Be first to comment


Mtandao wa Daily Post umeandika kuwa mapema wiki hii kuna mtu wao wa karibu alipokea ujumbe wa simu kutoka kwa mwanafunzi wa kike wa chuo kikuu maarufu jijini Nairobi uliosomeka.

“Mimi ni mwanafunzi na nimeathirika na HIV. Niliapa kuusambaza  kwasababu niliambukizwa wakati wa tendo langu la kwanza. Nimeshatembea na wanaume 322 kwenye campus yangu na wawili nje. Nilitaka kuwaambukiza watu 2,500 lakini hatia niliyonayo inaniua.”

March 15, 2013

BINTI WA CHUO AMWAGIWA MAJI YA MOTO NA BINTI MWENZAKE KISA KIKIDAIWA KUGOMBEA MME NI HATARI SANA

Hi | 1:32:00 PM | | Be first to comment

NDOA INATAKA KUNISHINDA SIWEZI KUISHI BILA TENDO LA NDOA NISHAURI MDAU

Hi | 1:00:00 PM | | Be first to comment

Wapenzi salaam,
Nina mkasa, au jambo ambalo linamsumbua dada yangu kwa kiasi kikubwa sana,nimeshare nanyi kwa kuwa najua kwenye wengi hakukosekani busara na majibu ya maswali magumu.

Nina dada yangu mumewe anashindwa kumpa unyumba kwa miaka sita sasa, hata akijitahidi kukutana na mkewe anaishia njiani,yaani katikati inasinyaa, hii inatokana na nini, dada yangu kajaribu kila kitu hadi sasa anataka kuchukuwa maamuzi mazito, maana hamwoni muwewe kama anasumbuka na hilo kabisa,akimwongelesha hilo anakuwa mkali, na kukumbushia maugomvi ya zamani ili tu dada ajisikie vibaya.

Mimi kaka mimi nimemshauri kama aliweza kukaa miaka yote sita asiachane na mumewe, kwani ana watoto nae nahisi watapata taabu kisaikolojia, dada yangu anampenda sana mumewe, coz hata akijaribu kucheat huwa hasikii raha wala nn,anamwazia mumewe tu,mwishowe anamwacha mpenzi na kurudi home kujituliza, hali hii imemfanya akose raha kabisa,japo kila kitu kiko fresh kimaisha,ukimwona akiwa na mumewe utadhani anafuraha hakuna dosari,ila muda mwingi ,ushauri wenu unaombwa.naomba wenye uzoefu na hata waliowahi kukubwa na tatizo hili wasaidie kutoa ushauri,pia wanaume ambao waliwahi kupatwa na tatizo hili mtoe ushauri tumsaidie mwenzetu.

Home of Technologies © Copyright 2010-2015 : Designed by : WebMaster