Kama kawaida kazi ya teknolojia ni kurahisisha maisha ya watu, Smart
belt zimevumbuliwa hasa kwa watu wanaohangaika kubadilisha tundu la
kufungia mkanda mara kadhaa kwa siku.
Mkanda huu unajiongeza ukubwa au kujipunguza kutokana na jinsi ulivyoshiba. Jionee picha mwenyewe.
Mkanda huu unajiongeza ukubwa au kujipunguza kutokana na jinsi ulivyoshiba. Jionee picha mwenyewe.
Katika pitapita zangu mjini hasa mida ya lunch nimeshuhudia akina baba wakisogeza fundo la mkanda baada ya lunch.
Na sio wakati wa kula tu, hata baada ya kupata chupa kadhaa za bia jioni, utaiona midingi ikiongeza size ya mikanda.
Na sio wakati wa kula tu, hata baada ya kupata chupa kadhaa za bia jioni, utaiona midingi ikiongeza size ya mikanda.

0 COMMENTS:
Post a Comment