JIUNGE NASI KUPITIA HAPA
TAFUTA CHOCHOTE BLOG
SOMA HABARI KWA MIEZI
SOMA ALAMA ZA NYAKATI
Showing posts with label VICHEKESHO. Show all posts
Showing posts with label VICHEKESHO. Show all posts
December 10, 2013
December 3, 2013
October 2, 2013
MTU AKAANGA KUKU KWA KUTUMIA MIKONO MAAJABU YA DUNIA
Mtu mmoja anayefahamika kwa jina la Mr Trichan mwenye umiri wa miaka 50 anayeweza kukaanga kuku kwenye mafuta ya moto kwa kutumia mikono yake.
Imeripotiwa kwamba Mr Trichan ana uwezo kukaanga kuku kwenye moto wenye 480c pia ndiye raia wa kwanza ambaye amevunja rekodi duniani kwa kukaanga kuku kwenye mafuta ya moto.
June 28, 2013
May 17, 2013
TASWIRA ZA WASANII WETU WA ZE COMEDI UFUKWENI NI HATARI NA ZINATIA AIBU SANA KWA WANAJAMII
Hi | 3:51:00 PM |
BONGO ARTIST
|
BONGO MOVIE
|
BURUDANI
|
EAST AFRICA
|
EVENTS
|
JAMII
|
MUSIC
|
SERIKALI
|
VICHEKESHO
Be first to comment
Labels:
BONGO ARTIST,
BONGO MOVIE,
BURUDANI,
EAST AFRICA,
EVENTS,
JAMII,
MUSIC,
SERIKALI,
VICHEKESHO
May 10, 2013
DUNIA TUNAIMALIZA..! WANAUME WAWILI WAFUMANIWA GESTI WAKIWA KATIKA HATUA ZA MWISHO ZA KUINGILIANA KINYUME NA MAUMBILE



MWANAUME aliyefahamika kwa jina la baba Salome, mkazi wa Tandika jijini Dar es Salaam, hivi karibuni alimdhalilisha mkewe (mama Salome) baada ya kufumaniwa gesti akiwa na mwanaume mwenzake ambapo madai yalisema, walikuwa katika hatua za mwisho za kuingiliana kimwili...
Aibu hiyo ya mwaka ambayo ilionekana pia kama kituko ilijiri Mei 3, mwaka huu ndani ya gesti moja maarufu iliyopo Devi’s Corner –Tandika, jijini Dar es Salaam.
Awali ilidaiwa kuwa, mwanaume huyo na baba Salome mwenye mke na watoto wawili wanaomtegemea kwa kila kitu, walionekana wakiingia kwenye gesti moja ambayo pia ipo maeneo hayo hali iliyozua maswali kwa watu waliokuwa wakiwafahamu.










