Maonyesho makubwa ya teknologia mjini Las Vegas yamezifanya kampuni
kubwa za teknologia kuzindua mipango yao ya mwaka 2015.Kampuni ya Sharp
ilionyesha runinga yake mpya aina ya 8k na kutangaza kuwa itaanza kuuzwa
mwishoni mwa mwaka huu.Runinga hiyo Inaoyesha filamu za 3D bila ya mtu
kuvaa miwani.Ama kwa kweli ni habari njema kwa wale wote wanaopanga
kunua runinga.

0 COMMENTS:
Post a Comment