Msanii
mahiri wa Mashairi hapa nchini,Mrisho Mpoto akiwakuna vilivyo wakazi wa
mji wa Dodoma alipowaangushia maneno kadhaa na umati kulipukwa na
mayowe kila kona,ambapo Clouds FM wamezindua msimu wao mpya.
Snura
akiimba jukwaani wimbo wake unaotamba kwa sasa katika vituo vingi vya
redio,uitwao Majanga,mbele ya maelfu ya watu waliofika kwenye uwanja wa
Jamuhuri JIUNGE NASI KUPITIA HAPA
TAFUTA CHOCHOTE BLOG
SOMA HABARI KWA MIEZI
SOMA ALAMA ZA NYAKATI
May 16, 2013
TASWIRA ZA UZINDUZI WA MSIMU MPYA WA CLOUDS FM DODOMA
Labels:
BONGO ARTIST,
BONGO MOVIE,
BURUDANI,
EAST AFRICA,
EVENTS,
JAMII,
MUSIC









0 COMMENTS:
Post a Comment