May 6, 2013

LADY JAY DEE NINA MENGI SANA YA KUZUNGUMZA KUHUSU RUGE NA WENZAKE

Hi | 7:08:00 PM | | | | |
"Kama mtakumbuka niliahidi kutoa awamu ya pili tar 15 au 17 May na ahadi ni deni..Japo naona mbali ila Nitafanya hivyo, bado nina mengi sana ya kuzungumza kuhusu Ruge na wenzake...Ile ilikuwa ni trailer tu, Movie ndio linaanza sasa #TeamAnaconda no surrender" Lady Jay Dee

0 COMMENTS:

Home of Technologies © Copyright 2010-2015 : Designed by : WebMaster