April 15, 2013

SHINDANO LA SHINDA KIDIGTALI ZAIDI KWA WATAZAMAJI WA DTV LINAVUTIA

Hi | 5:15:00 PM | | | | |

Lile shindano la SHINDA KIDIGTALI ZAIDI kwa watazamaji wa  DTV na wasikilizaji wa ,MAGIC FM pamoja TIMES limeingia sura mpya baada ya mamia ya watu kujitokeza na kuanza kujaribu bahati zao.

Akiongea na Xdeejayz mratibu wa shindano hilo Bravo Matthews alisema"Ni kweli kwa sasa zoezi linaendelea vizuri watu ni wengi waliojitokeza kushiriki na tunaendelea kutoa uwito kwa watazamaji wetu wa Dar es Salaam Telavishen "DTV" kuendelea kujitokeza ili kujinyakulia zwadi hizo za bure kabisa" Alisema Bravo


Aidha mratibu huyo aliongeza kusema wapenzi watazamaji na wasikilizaji wa redio hizo wanaweza kutuma zaidi ili kujiwekea mazingira ya kushinda kwani mshiriki unaweza kujishindia zawadi hizo zaidi kadiri utakavyoshiriki ambapo unaandika neno SHINDA kwenda namba 15522  na kutakuwa na maswali rahisi ambayo kamwe mshiriki yeyote hawezi kushindwa kuyajibu.

0 COMMENTS:

Home of Technologies © Copyright 2010-2015 : Designed by : WebMaster