April 29, 2013

KATIBU MKUU WA CCM, ABDULRAHMAN KINANA AKUTANA NA BALOZI WA UBELGIJI

Hi | 12:36:00 AM | | | |
KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia) akizungumza na Balozi wa Ubelgiji hapa nchini, Koen Adam, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, jijini Dar es Salaam, leo, Aprili 25, 2013. Wapoli kulia ni Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro.

0 COMMENTS:

Home of Technologies © Copyright 2010-2015 : Designed by : WebMaster