April 3, 2013

AFTER DEATH NEVER HAPPENED BEFORE

Hi | 10:15:00 PM | | | | | |
Karibu Leaderz club siku ya Jumapili tarehe 7 mwezi wa 4 kwa ajili ya kumuenzi ndugu yetu marehemu Kanumba ambaye ametimiza mwaka sasa tangu atutoke. Kutaonyeshwa movie iliyoandaliwa kwa ajili ya kumuenzi Kanumba na movie yake ya mwisho kuifanya kabla ya kifo chake itazinduliwa. kuanzia saa 8 na kiingilio ni bure wote mnakaribishwa

0 COMMENTS:

Home of Technologies © Copyright 2010-2015 : Designed by : WebMaster