Washiriki katika pozi Action
Wanafuraha sana wote katika semina hii
Bi. Jovitha Mlay Mtendaji mkuu wa Kampeni ya Tunaweza akiwa katika Semina akiwa kama Jaji wakati wa Maigizo kwani wanasemina walifanya mchezo katika vikundi vitatu ili kujengeana uwezo wa kujiamini zaidi.
Mkurugenzi Mtendaji wa EBLI Mr. Benard Makachia ambaye ndiye mwezeshaji wa mafunzo kwa vijana.
Wanatamani na wanapenda kupigwa picha
Sandra wa Shija nae katika pozi
Ana tabasamu nimeipenda sana picha hii...!
Amefurahia sana
Semina kwa vikundi wakijadiliana ili kuunda Igizo zuri
Skafu ilimtoa sana ungekuwepo naamini ungependa
Anafikiria kwa kina sana nn cha kuzungumza kwa wenzake
Jamani mwafrika wa ukweli huyu
anafikiri kitu ila anatamani kusema vile
Mdada huyu huwa yuko makini sana hasa wakati wa maigizo ki ukweli kama akiendelezwa anaweza kuwa Actor mmoja matata sana kwani ana kipaji toka moyoni.
Alikuwa anawaza sana wakati huu.
Action haya ni mambo ya maigizo wakati wa kuwaburudisha wengine ilikuwa poa sana.
Mdada huyu anajitahidi pia hasa linapokuja swala la Action pia hajali watu wanaomzunguka daima.
washiriki wanafurahia baada ya kuona igizo la kuvutia
Sandara looking gud baby Big up katotoo
Wana semina eneo la tukio
Wametuliaaaa kweli mpaka raha
Tutaendelea kwa wakati mwingine tena uskose..!!
2 COMMENTS:
Jamni hongera sana Ramso kwa blog yako nzuri inayotoa matukio mazuri yenye kuelimisha jamii. Hongera kwa vijana waliopata mafunzo ya leadership and special goes to baby Sandra kwa umri wake and what she is doing she real deserve a big up
Asante sana jamani na nashukuru kwa mchango wako kufika katika blog hii na kuangalia baadhi ya matukio Mungu akubariki daima
Post a Comment