Tunaweza ni Kampeni ya Miaka 5 yenye lengo la kuwafikishia kuwa Ukatili dhidi ya wanawake haukubaliki hivyo basi wachukue Hatua na Kampeni hii itatekelezwa na mwanamabadiliko. Mwanamabadiliko ni mtu yeyote itikadi yeyote Mwanaume, Mwanamke, Mvulana au msichana, ambaye anaweka dhamila ya kubadili tabia na mienendo yake kuhusu Ukatili dhidi ya Wanawake na pia kazi ya mwanamabadiliko ni Kujitolea, Kuongea na kuwashawishi watu wengine 10 kubadili tabia na mienendo yao na wakifanya kazi kama vikundi au kila mmoja Peke yake "Pamoja Tunaweza Kuondoa aina zote za Ukatili Majumbani.
Huyu ndie Mratibu mkuu wa mradi wa We Can Campaign Jijini Mwanza anaitwa Bi. Jovitha Mlay
Jovitha Mlay akielezea nini maana ya We can Campaign katika sherehe hii ilifanyika katika Ukumbi wa Mwanza Youth Uliopo Mlango mmoja Mwanza.
Washiriki wakishiriki kikamilifu kwa nyimbo mbali mbali
Wanamabadiliko waliobadilika ki ukweli kabisaaaaaa
Kijana akiongelea mabadiliko aliyoyapata baada ya Kampeni kuifahamu.
Kushoto ni Leah Sotel kutoka Shirika la Nguvu Kazi linalotoa Ushauri Nasihi na wa Kisheria, Kulia ni Mtendani mkuu Bi. Tonny Ndunguru wa Shirika lisilo la Kiserikali Chemichem ambalo hutoa dawa za asili kwa ajili ya Tiba ya magonjwa mbali mbali wanapatikana Barabara ya Mkanyenye Jijini Mwanza
Washiriki walivalia Kofia na wakapendeza sanaaaa
Wanasikiliza kwa makini saaana maada mbali mbali
Wanaharakati kutoka Shirika la Ukami wanaotoa mafunzo ya Chelehani na Kompyuta kwa watoto wafanyakazi wa nyumbani Jijini Mwanza pia wanapatika Isamilo
Mhamasishaji Prosper Mwalimu wa Lake Primary School akitoa neno kwa washiriki
Bwana Omary Abubakari mmoja kati Staff wa Chemichem Company akiandika kwa makini
Safi sana mamiiiii umetulia sana unasikiliza
Lucy Kijana aliyepata mafunzo ya SFA na sasa anaelimisha vijana kila pande anapotembelea
Yassin Ally aliyekuwa anaendesha semina akimpatia maelezo kidogo Mshiriki.
Wametulia hakika ilikuwa nzuri sana
Vijana wanaharakati wakiongea kwa uchungu juu ya mabadiliko yao juu ya kampeni ya Tunaweza
Mr Shabani Ramadhani Mkurugenzi wa MYCN
Anaongea kwa Hisia mno
Yuko makini sana hasa anaposhika maiki
0 COMMENTS:
Post a Comment