November 9, 2011

DITTO, BARNABA NA FID Q WATESA USA

Hi | 12:44:00 PM |
Wasanii Mdogo Ditto, Barnabas kutoka THT na Fid Q msanii wa Hip Hop Bongo, wako nchini Marekani katika ziara maalum ambapo wamehudhuria na ku perform katika hafla maalum ya kumpa tuzo mke wa rais mstaafu wa Marekani, Bi. Laura Bush ambaye wanaonekana katika picha ya pamoja hapo juu. 
Hapa wakiwa na mshindi wa 2 wa American Pop Idol, 2 Catherine Mcphee, 
Ditto, Fid na Barnaba
Mchezaji wa Basketball, Mutombo kutoka DRC ambaye anachezea Marekani

0 COMMENTS:

Home of Technologies © Copyright 2010-2015 : Designed by : WebMaster