November 8, 2011

MWANZILISHI TEKNOLOJIA YA KOMPYUTA AFARIKI DUNIA

Hi | 9:08:00 PM |
Mmoja wa waanzilishi na mtendaji mkuu wa zamani wa kampuni kubwa ya teknolojia ya kompyuta nchini ya Apple ya Marekani Steve Jobs amefariki dunia Jumatano akiwa na umri wa miaka Hamsini na sita.
Kifo cha Steve  kimeibua simanzi kubwa katika tasnia ya teknolojia ya habari na mawasiliano kwa kuzingatia kuwa Steve alikuwa mbunifu.
Steve Jobs alijiuzulu kama mkurugenzi wa kampuni hiyo mwezi Agosti mwaka huu kufuatia kuugua saratani ya bandama tangu mwaka 2003 na alifanyiwa ubadilishaji wa ini mwaka 2009

0 COMMENTS:

Home of Technologies © Copyright 2010-2015 : Designed by : WebMaster