August 16, 2011

WACHAWI WATANO WACHOMWA MOTO

Hi | 3:57:00 PM |
IKIWA NI MAJIRA YA SAA 9 MCHANA KATIKA ENEO MOJA MKOANI MUSOMA, ILISEMEKANA KUNA WATU WALIOKAMATWA USIKU WA MANANE ENEO HILO WAKIWA KATIKA KUTA ZA NYUMBA ZA WATU, NI JUMLA YA WATU 4 WALIOSADIKIKA KUWA NI WACHAWI AMBAO HUTEMBELEA NYUMBA ZA WATU WAKATI WA USIKU NA KUFANYA WATU KUSHINDWA KUPATA USNGIZI, WAKAZI WA ENEO HILO WALIPANGA MIKAKATI HARAMBEE NA KUPATA UFUMBUZI WA KUKATA BAADHI YA WACHAWI NA KUAMURU WANANCHI WENYE HASIRA KALI KUWACHOMA KWA MOTO NA KUPOTEZA MAISHA.

0 COMMENTS:

Home of Technologies © Copyright 2010-2015 : Designed by : WebMaster