MWANDISHI WA HABARI MWANDAMIZI GAZETI LA DAILY NEWS KUTOKA DAR ES SALAAM AMETOA MREJESHO WA MATOKEO YA KAZI ZA SHIRIKA LA KUTETEA HAKI ZA WANAWAKE KIVULINI KANDA YA ZIWA BAADA YA KUTEMBELEA MAENEO YA MIKOA YA MUSOMA, MWANZA NA KAGERA NA KUKUTANA NA WADAU MBALIMBALI.
MWANDISHI HUYO AMEWEZA KUWEKA WAZI KWAMBA KIVULINI INAFANYAKAZI KUBWA SANA NA WANAJAMII WENGI WANAIMANI NA SHIRIKA LA KIVULINI KWA KUAMINI KWAMBA UWEPO WA KIVULINI NDIO SULUHISHO LA MATATIZO YAO.
ANASEMA WATENDAJI WENGI WA KIJAMII, SERIKALI NA MASHIRIKA MBALIMBALI YA KIRAIA WAMEJENGEWA UWEZO MKUBWA WA NAMNA GANI WANAWEZA KUZUIA UKATILI NYUMBANI NA KUWASAIDIA WALE WAHANGA WA UKATILI.
MWANDISHI WA HABARIKUTOKA DAILY NEWS AKIONGEA KWA HISIA
MHAMASISHAJI WA SHIRIKA LA KUTETEA HAKI ZA WANAWAKE KIVULINI YUSTA NTIBASHIMA AKIMSIKILIZA KWA UMAKINI MWANDISHI MWANDAMIZI WA DAILY NEWS
WADAU MBALI MBALI WALIOSHIRIKI KATIKA MDAHALO HUU WA UJIO WA MWANDISHI MWANDAMIZI
BI. ASIA MUYA MFANYAKAZI WA KIVULINI AKISIKILIZA KWA HISIA
ANGELINA BENEDICTOR MKURUGENZI MTENDAJI WA SHIRIKA LA KUTETEA HAKI ZA WATOTO WAFANYAKAZI WA NYUMBANI
JUMA ALLY MWENYEKITI WA VIJANA MKOA MWANZA
WAWAKILISHI CLUB YA WANAFUNZI KUTOKA MNARANI SEKONDARI NAO WALIKUWEPO
MWALIMU KUTOKA MNARANI SEKONDARY
HELLEN JAMES KIONGOZI MKUU WA VIJANA KUTOKA SHIRIKA LA KUTETEA HAKI ZA WANAWAKE KIVULINI
MWENYEKITI WA BARAZA LA KATA YA MBUGANI VALENTINE MASYEBA MWANAHARAKATI WA KIVULINI ALIYEAHIRISHA KIKAO SIKU YA LEO NA KUTOA NENO LA MWISHO.
0 COMMENTS:
Post a Comment