August 15, 2011

MCHEZAJI SINEMA MAARUFU AFARIKI DUNIA INDIA

Hi | 10:03:00 AM |
MCHEZAJI WA  SINEMA MAARUFU KUTOKA NCHINI INDIA AITWAYE SHAMIR KAPOOR PICHANI MWENYE UMRI WA MIAKA 76 AMEFARIKI DUNIA SIKU YA JANA KATIKA HOSPITALI MOJA NEW DELHI NCHINI INDIA, CHANZO CHA KIFO CHAKE INASEMAKANA ALIKUWA ANAUMWA MAGONJWA YA MOYO, MCHEZAJI SINEMA HUYU ENZI ZA UHAI WAKE ALIWAHI KUCHEZA MOVIE ZAIDI YA 150 MIAKA YA 2006, IKIWA TANZANIA SASA NI SAA 3 NA NUSU INDIA IKIWA NI SAA 6 KASORO SIKU YA LEO WANAELEKEA KUHIFADHI MWILI WA MAREHEMU, MUNGU AKULAZE MAHALA PEMA PEPONI AMINI.

0 COMMENTS:

Home of Technologies © Copyright 2010-2015 : Designed by : WebMaster