Vijana wakiwa wamekaa katika hema lao kw ajili ya kusajili wanamabadiliko ambao wanachukizwa na ukatili dhidi vijana na wasichana ikiwa ni pamoja na watoto
Wamekaa kwa furaha wakijiandaa na kusajili wanamabadiliko.
Tutaendeleiea kupashana Habari kwa yanayojili.
Kivulini Shirika lisilo la
Kiserikali lina Program iitwayo Youth2youth yenye lengo la kuwajengea
vijana uwezo na sauti yenye nguvu ili kupata haki zao za msingi, na
tunatumia mbinu iitwa SFA ikiwa kirefu chake ni Solution Focused
approach, ikiwa na maana ya Mbinu ya ufumbuzi wa umakini ili kuweza
vijana kutatua matatizo yao wenyewe, kusudio letu ikiwa pia ni kuzuia
unyanyasaji dhidi ya wasichana, Kuzuia madawa ya kulevya na pombe, VVU,
Ukimwi na ukiukwaji wa kupambana na afya ya uzazi ya kijamii na haki za
binadamu
Pia njia ya ufumbuzi ililenga kutoa mafunzo ya uongozi, na kutengeneza vilabu vya vijana, kupanga na kuandaa vipindi mbali mbali ikiwa ni pamoja na midahalo,mikutano ya michezo, vipindi vya radio na mengineyo.
Kuanzia siku ya jumamosi vijana wapatao 5 watakuwa eneo la Dampo Jijini Mwanza kwa ajili ya kufanya usajili wa vijana ambao wako tayari kupinga ukatili na kukataa kuwa si sehemu ya maisha yao, hivyo watakuwa na fomu ambazo atakayekuwa tayari kwa ajili kupinga ukatili dhidi ya wasichana na watoto ataweza kujaza na kupigwa picha aina ya passport na kubandikwa kwenye fomu, katika fomu hii kutakuwa na vipande aina mbili moja watabaki nayo vijana kwa matumizi ya ofisi na kingine atachukua aliyejaza fomu hiyo na kupigwa picha, Si lazima bali ni hiari pia kutakuwa na sehemu ambayo utajaza sehemu ya ahadi yako ukiwa kama mwanamabadiliko uliyeamua kubadilika.

2 COMMENTS:
Unajitahidi kwa habari uptodate.
Tunahitaji kuona muendelezo wa zoezi hili zuri la vijana kupinga ukatili.
Endelea kutuhabarisha.
Kivulini mko juu mnachuana na: voda, tigo na airtel.
Ninahakika mtapata vijana wengi wa taifa la leo watakao ingia msituni kupinga vitendo vya ukatili kwa wanawake. Wanawake ni mama, shangazi, dada na bibi zao. Nina hakika hakuna kijana anayependa kundi hilo la wanawake watendewe ukatili.
Ninawapa pongezi kedekede.
Post a Comment