June 30, 2011

Ajali Ajali Tukutuku tena

Hi | 2:23:00 PM |
Nikiwa katika harakati za kuwahi kuelekea ofisini leo majira ya saa 1 na 30 Asubuhi, Nikipita katika barabara moja ambayo ni makutano ya 4 ways eneo la Kembice Hotel karibu na Lavena Min Super Market, nilikuta ajali mbaya ya Piki piki ingawa sikubahatika kumwona mwendeshaji huyo kwani nilinyetishwa kama baada ya dk 15 kupita, Ilikuwa Hivi Dreva Tax alikuwa One way anakuja kwa kasi na huyu mwngine wa Tukutuku nae mwendo kama kawa kama dawa basi ndipo walipokutana katikati na kufanyana kitu mbaya, inavyosemekana mzee wa Tukutuku alivunjika miguu yote, Hivyo Tujiadhali na ajali za barabarani kwa kufuata kanuni.
 Hali ilikuwa si shwari kabisa mpaka naondoka eneo la tukio watu walikuwa wakishangaa jinsi ajali hii ilivyokuwa wengi wao walikuwa wameshika vichwa kwani walishuhudia Live kama Shaggy CCM Kurumba.



1 COMMENTS:

Anonymous said...

[url=http://cialisonlinehere.com/#voery]buy cheap cialis[/url] - cheap cialis , http://cialisonlinehere.com/#yzizc buy generic cialis

Home of Technologies © Copyright 2010-2015 : Designed by : WebMaster