June 7, 2011

Young girls Leadership skills training

Hi | 10:03:00 AM |
Kivulini imetoa mafunzo ya uongozi kwa vijana wa kike kuanzia tarehe 6/6/2011 katika ofisi yao iliyopo Isamilo Jijini mwanza ili kuwajengea uwezo wa kujiamini na kujitambua kuwa wanaweza kuwa viongozi wa ngazi za juu na kwamba wasikate tamaa kutokana na vikwazo wanavyokutana navyo katika Mazingira yanayowazunguka pindi wanapokuwa wanatafuta madaraka au nyazifa mbali mbali.Kivulini imekusudia kufanya mafunzo hayo kwa muda wa wiki moja na washiriki ni zaidi ya 40, Karibuni sana
Hawa ni baadhi ya washiriki walihudhulia semina hiyo inayoongozwa na Mr. Benard Makachia kutoka Shirika lisilo la Kiserikali EBLI Nyakato Jijini Mwanza.
 Semina ikiendelea na Mjasiliamalia anaendelea kusambaza elimu kwa vijana kama kawaida
 Washiriki wako makini zaidi ya unavyofikiri na wanasikiliza mpaka wengine huhisi usingizi
Mdada amekaa kwa pozi na anasura ya furaha ndani ya moyo baada ya kutambua kuwa anaweza kuwa kiongozi mkubwa bila kujali rika.
Washiriki wooote walikuwa wanang'aa sana kwani wamependeza sana

 wametulia tuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii wanalamba somo kama kawa kama dawa
 MYCN Safia naye hakukosa kwani inamhusu kabisaaaaaa
 Wamependeza etiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ww unaonaje?
 Shost nae eneo la tukioooooooooooooooooooo..!!Da Eliza a.ka.Elized
MYCN mwingine huyooo wigi lilimtoa sana kama ungebahatika kumwona wenda hata ungetamani liwe lako.
 Jamani huzuni alichelewa chai huyu kwani alikuja muda umeenda sana.
wana semina hawa
Huu ulikuwa wakati wa Kazi za vikundi walipata wasaa wa kujadili kwa kina kila mmoja
Huyu alikuwa makini sana akiwasikiliza wenzie
Kwa kweli aliwaelewa sana wenzake
 Zaidi tutaendelea leo uskose kuwa nami kwa wakati mwingine wa habari na matukio.

0 COMMENTS:

Home of Technologies © Copyright 2010-2015 : Designed by : WebMaster