Jijini Mwanza kuna mtandao unaotetea haki za watoto unaoitwa MYCN kirefu chake Mwanza Youth and Children Network, na una wanachama zaidi ya 200 pia na wewe waweza kushiriki kama utaguswa kutetea haki za watoto wote wanaonyanyasika Tanzania, Shirika hilo linapatikana Isamilo katika Ofisi za Kivulini Jijini Mwanza pia waweza wasiliana nasi kwa Simu namba +255712-2393669 Mwanza na wawezatembelea Tovuti yao inayoitwa http://envaya.org/mycn
Na huyu ndiye Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika lisilo la Kiserikali
MYCN-Mwanza Youth and Children Network
anayejulikana kwa jina la Shabani Ramadhani
nilibahatika kumpiga picha akiwa katika ofisi yake
Akiwa katika pozi Mr. Shabani Ramadhani
0 COMMENTS:
Post a Comment