June 30, 2011

Tuwaheshimu wazazi

Hi | 1:45:00 PM |
Maisha siku zote ni mihangaiko na ni kama safari ya kudumu, vile vile maisha hayana mwisho wa kutafuta kila siku ni kusaka noti, Mama huyu nilikutana naye eneo la Natta Jijini Mwanza akiwa amebaba magunia mawili na kipande kama unavyoona pichani, Nia na lengo lake ni kutaka mdomo uende kinywani yeye na familia yake..!! Kwa kweli tuwaheshimu wazazi na kukumbuka walipotutoa jamani.

0 COMMENTS:

Home of Technologies © Copyright 2010-2015 : Designed by : WebMaster