Aliyekuwa mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza MABINA ameuwawa na wananchi
wenye hasira kali kwa kupigwa mawe huko maeneo ya Kiseke jijini Mwanza.
Chanzo cha kuuwawa ni kwamba mabina aliwanyang'anya ardhi wananchi hao
na kesi ikawa mahakamani na leo mchana Mabina bila kibali cha mahakama
alikuwa anapanda miti na kujenga msingi wa nyumba ndipo wanachi wakaenda
kumhoji iweje anapanda miti na kuweka msingi kwenye viwanja hivyo
ilhali kesi ipo mahakamani?
Mabina akaanza kutoa lugha chafu na kurusha risasi hewani.Kwa mujibu wa Katibu wa CCM ndg Joyce Masunga (maarufu kama Maziwa Fresh) ni kweli kuwa tukio hili limetokea
Mabina akaanza kutoa lugha chafu na kurusha risasi hewani.Kwa mujibu wa Katibu wa CCM ndg Joyce Masunga (maarufu kama Maziwa Fresh) ni kweli kuwa tukio hili limetokea
0 COMMENTS:
Post a Comment