Peter Okoye wa P-Square amemvisha pete Lola Omotayo ambaye ni mama wa
watoto wake wa wawili. Peter alikuwa kwenye mahusiano na Lola Omotayo
kwa muda zaidi ya miaka saba. Jamaa huyu wa P-Square alimvalisha pete
girlfriend wake na kumpa zawadi ya Range Rover Evoque mpya kabisa baada
ya kukubali pete yake. Cheki picha jinsi mambo yalivyenda wakati Peter
akijipatia mchumba.
0 COMMENTS:
Post a Comment