June 16, 2013

UCHAGUZI MDOGO WA MAKUYUNI, CCM WAVAMIA VITUO VYA KURA, KAMANDA NASSARI NAYE KAUMIZWA VIBAYA

Hi | 10:17:00 PM | | |
Hali si shwari katika uchaguzi mdogo wa Makuyuni, CCM wamevamia vituo vya kura, mawakala wa CHADEMA wamepigwa vibaya sana.
Kamanda Nassari naye kaumizwa vibaya sana. Amelazwa Hospitali ya Waseliani
Jamani watanzania tunaelekea wapi kwa hali hii? Ee Mungu utusaidie sisi wanao!

0 COMMENTS:

Home of Technologies © Copyright 2010-2015 : Designed by : WebMaster