June 17, 2013

CHARGE ZA SIMU ZINAZOCHARGE KWA KUTUMIA JOTO LA MWILI KUTOKA VODAFONE

Hi | 3:11:00 PM | | | | |
Kaptula hizi za umeme zinaweza kuvuna umeme wa nishati ya Joto la mwili wa binadamu kwa kutumia teknolojia ya uzalishaji nishati ya umeme kwa njia ya mwendo, Charge hizo zimetengenezwa na kampuni ya Vodafone kushirikiana na chuo cha Southampton.

0 COMMENTS:

Home of Technologies © Copyright 2010-2015 : Designed by : WebMaster