June 20, 2013

TASWIRA YA IPHONE 5 MPYA ILIYOTENGENEZWA KWA DHAHABU NA ALMASI TUPU INAYOUZWA BILIONI 1.6

Hi | 1:56:00 PM | | | | | | |
Kampuni ya Goldgenie ya Uingereza inayohusika na utengenezaji wa bidhaa kama simu kwa kuziongezea madini ya thamani, imepata deal exclusive la haki za usambazaji duniani wa simu za Superstar iPhone 5. Simu hizo zimetengenezwa kwa dhahabu na kuzungushiwa almasi 364. Bei zake inanaanzia £48,000 hadi £68,000 ambayo ni zaidi ya shilingi bilioni 1.6.

0 COMMENTS:

Home of Technologies © Copyright 2010-2015 : Designed by : WebMaster