June 20, 2013

HATARI SANA..! MTANZANIA AFARIKI SABABU YA MADAWA YA KULEVYA KUMPASUKIA TUMBONI AKITOKEA UK KWENDA ITALY

Hi | 4:58:00 PM | | |
Jmani msiwaige wa Nigeria jamani watawaponza maana wanawapa maneno matamu huku wanawamaliza taratiibuu, Sonia ni msichana aliyekuwa anaishi Uk na chanzo cha habari hii kimeniambia alipata connection ya Nigerians wanaoishi Uk kupeleka sembe Italy, yaliyomkuta ni yale mambo kucheza segere ndani ya tumbo lake na kupelekea umati wake (vitu vimepasukia kwa tumbo)

wanawake/wasichana why?/ maana kwa sasa sisi tunashika hatamu, kweli haya majanga jamani kataeni msiwe warahisi kukubali vitu kwa sababu ya ugumu wa maisha, hakuna permanent situation so hicho kipindi kigumu kitapita tu, kila siku nawaletea mifano na uthibitisho kwamba hivyo vitu ni noma lakini hamkomi

0 COMMENTS:

Home of Technologies © Copyright 2010-2015 : Designed by : WebMaster