Alvin Walter Makundi ni kijana mdogo wa Kitanzania anayeishi
na wazazi wake nchini Singapore. Akiwa na umri wa miaka 14 na mwanafunzi wa
kidato cha pili huko Singapore, tayari ameshatumbukiza jina lake katika orodha
ya wataalamu wa application katika moja ya makampuni makubwa duniani ya
kutengeneza simu za mkononi ya NOKIA, ambapo anatengeneza applications ambazo
anazituma katika kampuni hiyo ambayo nayo bila hiana huitumia.
JIUNGE NASI KUPITIA HAPA
TAFUTA CHOCHOTE BLOG
SOMA HABARI KWA MIEZI
SOMA ALAMA ZA NYAKATI
June 9, 2013
MTOTO WA MIAKA 14 MTANZANIA ANAYEISHI SINGAPORE AWATENGENEZEA APPLICATIONS ZA SIMU KAMPUNI KUBWA DUNIA YA NOKIA
Hi | 12:18:00 PM |
BIASHARA
|
BONGO ARTIST
|
BONGO MOVIE
|
BURUDANI
|
EAST AFRICA
|
JAMII
|
SERIKALI
|
UGHAIBUNI
Labels:
BIASHARA,
BONGO ARTIST,
BONGO MOVIE,
BURUDANI,
EAST AFRICA,
JAMII,
SERIKALI,
UGHAIBUNI
0 COMMENTS:
Post a Comment