March 6, 2013

TASWIRA YA ABSALOM KIBANDA AKIWA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI BAADA YA KUVAMIWA NA KUPIGWA VIBAYA

Hi | 8:38:00 PM | |
Mwenyekiti wa Jukwaa la wahariri, Ndugu Absalom Kibanda akiwa hospitali ya taifa ya muhimbili muda mfupi baada ya kuvamiwa na kupigwa vibaya na watu wasiojulikana.picha hii imepigwa saa tisa usiku wa leo na Mdau Chongoloh
---
Mwenyekiti wa Jukwaa la wahariri, Ndugu Absalom Kibanda, amevamiwa usiku wa kuamikia leo akiwa  anashuka nyumbani kwake Mbezi Beach na watu wasiofahamika na kumpiga kichwani.Amepata majeraha Makubwa kichwani na hasa jichoni

0 COMMENTS:

Home of Technologies © Copyright 2010-2015 : Designed by : WebMaster