Airtel “AMKA MILIONEA” zaongeza zaidi ya Milion 270
· Kwa siku 60 zaidi ya wateja 580 wa Airtel kuibuka na Mamilioni hayo
· Tuma shinda kwenda 15595 ili kujiweka kwenye ushindi
Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel imeongeza muda wa promosheni
yake kabambe ya AMKA MILIONEA pamoja na sambamba na kuongeza kiasi
kikubwa cha MPUNGA ili wateja wake kuendelea kujizolea mamilioni zaidi
Meneja Uhusiano wa Airtel Bw.
Jackson Mmbando ametuhabarisha kuwa promosheni hiyo iliyodumu kwa siku
90 hapo awali na kufanikiwa kuzawadia zaidi ya milioni 400 kwa wateja
wameamua kuiendeleza ili wateja waendelee kufaidi zaidi
0 COMMENTS:
Post a Comment