January 19, 2013

NDOA YA MASHOGA ILIYOFUNGWA NA WAAFRIKA WENZETU HIVI KARIBUNI

Hi | 12:02:00 PM | | |
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Filauni Ndugu msomaji na mdau wa Blog hii , Ndoa hii imefungwa hivi karibu katika nchi moja ya kiafrika na kuhudhuliwa na Jinsia zote ikiwa ni wazazi wa watoto hawa, 

Napenda kuchukua fursa hii kwa upande wangu kwa kukemea hiki kitendo cha hatari isifikie Tanzania tukawa na maamuzi kama haya na hii ni kwa Serikali kupiga vita dhidi ya wanaoweza kuchukua maamuzi kama haya, Maana kwa mtu mmoja mmoja hatuwezi kabisa kutokomeza vitendo hivi haramu bila Serikali kulichukulia hatua kali za Kisheria kwa mtu ambaye ataweza kutumia fursa zake binafsi kwa kufanya mambo kama haya machafu hata mbele za Mungu yasiyostahili
Mungu aturehemu na atupunguzie Majaribu katika Dunia.

0 COMMENTS:

Home of Technologies © Copyright 2010-2015 : Designed by : WebMaster