January 19, 2013

FILAMU ALIYOIGIZA MAREHEMU SAJUKI NA MKE WAKE WASTARA ‘KIVULI’ IMEINGIA SOKONI

Hi | 11:51:00 AM | | | | | | |
Filamu aliyoigiza marehemu Sajuki na mke wake Wastara ‘Kivuli’ leo imeingia sokoni rasmi. Filamu hiyo iliyotayarishwa na Wajay Film Co na kusambazwa na kampuni ya Steps imewahusisha pia waigizaji Slim Omary na Mohammed Said.

0 COMMENTS:

Home of Technologies © Copyright 2010-2015 : Designed by : WebMaster