Apparently
mrembo Wema Sepetu yuko busy na ulezi wa mtoto wake!! Mtoto huyo ambaye
Wema amekuwa akipost picha zake mara kwa mara kwenye mtandao wa
Instagram, anaitwa Vanny.
“My baby vanny all cuddled up after her bath…. Awww ,” ameandika Wema kwenye moja ya picha za mbwa wake huyo!
“Always puts a smile on mummyz face,” anasema Wema.

0 COMMENTS:
Post a Comment