Meneja
Masoko wa Airtel Rahma Mwapachu akiongea na waandishi wa habari wakati
wa kuzindua huduma ya SMS kichizi ambapo wateja wa Airtel sasa wanaweza
kutuma sma kwa gharama ya shilingi 1 kwa sms masaa 24 kwa siku 7 za
wiki, katikati ni Meneja bidhaa na masoko Francis Ndikumwami na kushoto
ni Afisa Uhusiano wa Airtel Bi Jane Matinde
Meneja
bidhaa na masoko Francis Ndikumwami akionyesha kipeperushi cha huduma
ya SMS kichizi wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo itakayowawezesha wateja
wa Airtel nchini kutuma ujumbe mfupi wa sms kwa shilingi 1 kwa sms
masaa 24 kwa siku 7 za wiki, kulia ni Meneja Masoko wa Airtel Rahma
Mwapachu kushoto ni Afisa Uhusiano wa Airtel Bi Jane Matinde
0 COMMENTS:
Post a Comment