Mwanasheria wa Kampuni ya Tigo Tanzania, Kay Ngalomba, akitolewa damu kwenye zoezi hilo la uchangiaji Damu.
Afisa Muuguzi kutoka Mpango wa Taifa wa Damu Salama akimchoma sindano mmoja wa wau waliojitokeza kwenye zoezi hilo linalofanyika kwenye ofisi za Makao Makuu ya Kampuni ya Tigo Kijitonyama jijini Dar es Salaa.
Afisa Muuguzi wa Mpango wa Taifa wa Damu Salama Selina Sahani akimtoa damu Mkurugenzi wa Blog ya RAHA ZA PWANI Said Powa, wakati wa zoezi la uchangiaji wa damu lililoratibiwa na Kampuni ya simu za mkononi ya Tigo kwa kushirikiana na Damu salama, jijini Dar es Salaam leo zoezi hilo linatarajiwa kufanyika hadi mikoani.
Akihojiwa na Mtangazaji wa kituo Cha Radio Cha Capital Amri Masare.
0 COMMENTS:
Post a Comment