Baadhi ya waislamu waliokataa kutii amri ya Polisi wakipata mkong'oto
katika vurugu zilizozuka Mbagala, Dar es Salaam leo, ambapo waliandamana
hadi kituo cha Polisi Mbagala Kizuiani kutaka kumuadhibu mtoto
aliyeikojolea kuran
Barabara zilifungwa kwa mawe na askari kupata wakati mgumu kupita.
Moja kati ya makanisa
matatu yaliyovunjwa, hapa baadhi ya waandishi wa habari wakiangalia vioo
vilivyovunjwa kwenye Kanisa hilo Jipya la Wasabato lililopo upande wa
magharibi mwa karibu na kituo cha mabasi kizuiani.
Barabara zilizuiwa na matariri yaliyochomwa motoMtuhumiowa akipandishwa kutoka kwenye mtaro kuelekea kwenye gari.
0 COMMENTS:
Post a Comment