October 12, 2012

FISCRAB AUDIO STATION PRESENTS NEW SONG D-MALICK ft. BLUE & HANYLET - NILOMPENDA

Hi | 8:21:00 PM | | | |
A D MALICK MELODY NA MR BLUE KABAYSER KUTOKA FISHRAB KUACHIA MKWAJU TISHIO KATIKA TASNIA YA BONGO FLEVA!!!..... bdulmalick simbamgeni almaarufu kwa jina la D malick(22) ni moja kati na ya wasanii anboa wapo chini ya producer mkogwe Tanzania ambae Alisha wahi kujinyakulia tuzo kadhaa za kili muzik awards ambazo hufanyika kila mwaka nchini Tanzania. Si mwingine ni producer lamar niecamp( talk of the town) ambae anamakazi yake maeneo yajangwani karikoo jijini dare s salaam. 

Producer huyo ambae alisha fanya hits kibao na wasanii tofauti tofauti Tanzania kama dimond,chege,ledy jdee, geez mabove,mr blue,mr nice jafery tid(top in dar) na wengine kibao alikutana na msanii d malick mwaka march/2011 baada ya msanii huyo kutoa hits tofaut na producers tofauti tofauti kutoka jijini mwanza na kufanikiwa kufanya video za nyimbo kadhaa,ikiwemo 4gve me na mtima wange ambazo zilimfanya katika tasnia ya muziki nchini Tanzania. 

MOJA YA VITU VINAVYO MPA SIFA MSANII D MALICK MELODY NI MUONEKANO MZURI WA KISTAARABU HASA POZZZ…KITU AMBACHO KINAMFANYA AWE MIONGONI MWA MASTAA WENYE MUONEKANO MZURI WA KIFEDHA KAMA DIMOND,MR BLUE,NA PRODUCER WAKE LAMAR AMBAO PI NI WATU WAKE WA KARIBU SANA,……SANA!! HII NI STYLE MPYA YA UTAMBULISHO WA NGOMA ZA MSANII D MALICK.HUENDA IKAIGWA NA WASANII WENGINE TANZANIA (Its creativity under fishcrab brandy of dmalik Dimond ni msanii alie wahi kuniweka chini na kunihusia mambo mengi sn kuhusu muzuki…..

Kila kitu kinahija maandalizi ,subira,hekima,busara na uvumilivu kufikia malengo, pia kutokw mjuaji ili kufikia malengo –alisema d malick baada ya kuulizwa nini siri ya mafanikio yake katika game ya bongo kwakuwa wasanii wengi huferi kufanikiwa kimuziki….. mara baa ya msanii d malick kukutana na producer lamar alitoa kibao kiitwacho mama mwenye nyumba ujio ambao ulipma chati msanii huyo kiasi cha kujlikana na wasanii tofauti Tanzania. Mara baada ya kutoa kibao hicho d malick alikaachini na kuumiza kichwa na kuadaa project mpya chini ya usimamizi wa fishcrab audio station ambapo walishiri kiana na producer wake lamar. Kwa muda usio pungua miezi 11 kasoro mwezi mmoja kukamilika. 

Mwaka d malick alitumia muda huo kutengeneza ngoma hiyo. Katika wasaniii ambao d malick alikua akitazamia kufanyanao kazi Tanzania ni khery sameer aka mr blue,ambapo msanii huyo mkongwe katika tasnia ya muziki wa bongo flever mwenye mapozi kibao alikuwa nchini dubai kwa shows ambazo alikwa amealikwa. Baada ya kurejea alimeet na d malick na kupanga programme nzima ya kufanya kz pamoja, kwakua mr blue alikua bize na show za nje ilimlazimu d malick kumsubiri arejee tena baada ya kuondoka kwenda malesia ambapo pia alikwa na shows kibao. Kitu ambacho kilizidi kufanya project kuchukua muda mrefu ikiwa studio. Kabiser the babylone bizy alireja toka malesia na kufanya kazi na d malick, project iitwayo nilompenda ambapo pia alishirikiana na mwanadada hanylet ambae ni mwanafunzi mwenzie d malick katika chuo cha ustawi wa jamii jijini de res salaam. 

Ujio huo wa d melody umeshtua wasanii wengi sn bongo, nimwanzo tu kunaproject za kutosha sana nipo na kaka yangu lamar hakuna kinachoharbika, pia vide ya project yangu ipo njian watu wakae taali…-alisema d malick kwa kujidai. Aliongezea kwa kusema-namshkuru m/mng,nawashkuru wote walio husika kunufakisha hapa mng awabark sana na awape moyo wa kusaidia wengine insha allah game yetu itafika……shukurani zangu za thati kwa producer wng lamar kwakuona umuhimu wa kipaji changu, pia namshr kaka blue kwa sapport kubawatu.pia namshukuru kaka dimond kwa sapport yake kwani sasa nauwezo mkuba katika uandishi na hata uimbaji…..yote n kwasababu yake hakuwa mchoyo wa ushauri na mafunzo tofauti tofaiti ki muziki………mwisho wa kunukuu..

0 COMMENTS:

Home of Technologies © Copyright 2010-2015 : Designed by : WebMaster