KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda
amekamatwa na polisi. Inasemekana Sheikh Ponda amekamatwa kwa tuhuma
mbalimbali ikiwemo ya uchochezi dhidi ya Serikali. Watu wanaosaidikiwa
kuwa ni wafuasi wa Ponda wamekusanyika katika kituo cha Polisi Kati
Jijini Dar es Salaam kushinikiza kiongozi wao huyo anayeshikiliwa polisi
aachiwe.
0 COMMENTS:
Post a Comment