November 9, 2011

MWIZI WA MAFUTA YA TRANSFOMA YA UMEME AFARIKI DUNIA MWANZA

Hi | 11:37:00 PM | |
Mafundi wa TANESCO wakiendelea kuutoa Mwili wa mtu ambaye hakufahamika jina juu ya nguzo za umeme ,mtu huyo alinaswa na umeme na kupoteza maisha wakati akijaribu kuiba mafuta ya transfoma ya umeme eneo la Bugando Jijijini Mwanza.

0 COMMENTS:

Home of Technologies © Copyright 2010-2015 : Designed by : WebMaster