Wanachi wakipita katika barabara ya Kenyata Road kuelekea Magomeni Kirumba kwa ajilia ya kuaga mwili wa marehemu Mh. Novatus Manoko.
Wanachi waliohudhulia katika viwanja vya Magomeni kwa ajili ya kuaga mwili wa marehemu
Eneo la Soko la Kirumba wakiaga mwili wa marehemu kwa masikiko Makubwa
Kiongozi wa chama cha mapinduzi akiwa na madiwani - Clement Mabina CCM
Nyumbani kwa Baba wa marehemu wanandugu na wanachi wakiaga mwili wa marehemu na Mh. Haines Mbunge wa Jimbo la Ilemela alikuwepo.
Mwili wa marehemu ukiingizwa kanisani kwa ajili ya maombezi
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mh. Abbas Kandolo akitoa neno kwa wafiwa
Mbunge wa jimbo la Ilemela Haines Samson na Mkuu wa mkoa Abbas Kandolo na mwakilishi makao makuu chadema
Mzazi wa marehemu Mh. Novatus Manoko Kanisani kwa ajili ya Ibada
Mke wa marehe akilia kwa majonzi tele.
Mh. Abbas Kandolo akitoa pole kwa wazazi wa marehemu
Madiwani wakitoa mwili wa marehemu kwa ajili ya kuelekea malaloni.
Diwani kata ya Kirumba kutoka chama cha Chadema Mh. Novatus Manoko aliyezaliwa miaka ya 1969 amefariki dunia kutokana na ugonjwa wa saratani ya damu uliokuwa unamsumbua muda kitambo, Mazishi hayo yalifanyika Kitangiri Jijini Mwanza na kuhudhuliwa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mh. Abbas Kandolo, Mbunge wa Jimbo la Nyamagana Mh. Ezekiel Wenje, Mbunge wa Chadema Jimbo la Ukelewe Mh. Machemli, Mbunge wa Musoma Mjini Mh. Vicent Nyerere, Mbunge wa Viti maalumu Ilemela Maria Ibeshi Hewa, Watu walioshiriki katika maziko haya wanakadiliwa kuwa zaidi ya watu elfu tano, Katika harakati za kuaga mwili wa marehemu kutokana na Heshima na uongozi alikuwa nao Mh. Novatus Manoko ilichukua siku mbili siku ya kwanza wafanyabishara katika soko la Kirumba Jijini Mwanza walikuwa wa kwanza kuaga mwili huo kwani alikuwa mwenyekiti wa Soko hilo la Kirumba, Na kisha siku ya pili ilifuatiwa na Magomeni Uwanjani na ndipo wanachi waliohudhulia mazishi haya walitoa heshima za mwisho kwa kumuaga mpendwa wao na kisha kuelekea Kanisa la Romani Kathoric Kirumba kwa ajili ya Ibada na baada ya hapo walielekea Malaloni Kitangiri Jijini Mwanza.
0 COMMENTS:
Post a Comment