August 25, 2011

JOSE CHAMILION AKANUSHA USEMI WA KUBADILI DINI

Hi | 4:32:00 PM |
 Mwimbaji maarafu kutoka nchini Uganda Joseph Mayanja almaarufu kama Jose Chamilion, aliwahi kuripotiwa kuwa na jumla ya kesi mbali mbali zipatazo 91, ikijumuisha na uvunjaji wa sheria nchini Uganda, Kesi mojawapo kuwa aliwahi kumchoma kisu msanii mwenzake nchini humo aitwaye Bebe cool, 
Hivi karibuni nchini humo aliweka wazi kuwa ameamua kubadili dini yake kutoka ukristu na kwenda uisalmu kupendekeza jina kuwa anapendelea kuitwa Gadafi na baada ya siku kadhaa alisema wazi kuwa ameamua kurudi tena katika dini yake, Waislamu wa nchini humo wamechukia na kuanza kumsaka kila pande nchini humo kwa uamuzi wake wa kuonyesha dhahili ana dhalau dini hiyo, Mwimbaji huyo kutoka Uganda ili kunusuru roho yake sasa ameamua kujiimarisha kwa kuongeza walinzi  kwa kusudio la kulinda uhai wake.

0 COMMENTS:

Home of Technologies © Copyright 2010-2015 : Designed by : WebMaster