July 27, 2011

WAPENZI WA FACEBOOK TENA

Hi | 10:58:00 AM |

Namba 1 Eminem Mashabiki 43,448,867
 Namba 2 Rihanna Mashabiki 40,779,447

 Namba 3 Lady Gaga Mashabiki 40,679,514
 Namba 4 Michael Jackson Mashabiki 38,118,365
 Namba 5 Justin Beiber Mashabiki 33,096,729
 Namba 6 Christian Ronaldo Mashabiki 31,054,494
Namba 7 Lil Wayne Mashabiki 29,060,477

Watu wengi dunia wameweza kujiunga na mitandao mbali mbali ya kijamii ikiwa ni kusudio la kukutana na watu mbali mbali, ndugu na kufahamiana kwa njia ya Teknohama Duniani kote, mfano ya mitandao ya kijamii, Tagged, Facebook, wayne na mingine mingi iliyopo, Ila kwa wenzetu wa nje tukijumuisha wasanii mbali mbali wakiwa ni wa magizo, mziki, sinema hutumia vigezo vingi kutambua watu wanaowapenda kwa kuwa na idadi kubwa ya watu katika mitandao hiyo, Nakuletea idadi ya watu walio na watu wengi hasa wasanii wa nchi za nje katika mtandao wa facebook unaotambuliwa na watu wengi duniani.

0 COMMENTS:

Home of Technologies © Copyright 2010-2015 : Designed by : WebMaster