July 19, 2011

Induction Training for SASA! Baseline Survey

Hi | 10:14:00 AM |
Kivulini inatoa mafunzo kwa watafiti wapatao 25 watakao shiriki kwenye utafiti wa awali kwaajili ya utekelezaji wa mradi wa SASA!. Mradi wa SASA! unahusu kuhamasisha jamii katika kuzuia ukatili dhidi ya wanawake na kudhibiti maambukizi ya UKIMWI kwa kuwezesha majadiliano ya matumizi sahihi ya mamlaka ""power''.Kukiwepo na usawa wa matumizi ya mamlaka 
tunaweza kuzuia ukatili dhidi ya wanawake na maambukizi mapya ya UKIMWI.
 Washiriki wakishiriki vema katika warsha hiyo inayoendelea mpaka sasa
 Muwezeshaji akielekezea maana ya Power katika warsha hii, Mama Celestina Nyenga Mfanyakazi wa Kivulini Idara ya Utetezi.
 Kijana hakuwa mbali na warsha Livinus Justine na akionyesha ishara ya kuelewa maana ya Power
Tutaendelea kufahamishana katika matukio mbali mbali yanayojili.

0 COMMENTS:

Home of Technologies © Copyright 2010-2015 : Designed by : WebMaster