Mafunzo ya siku 3 ya ushauri unaolenga utatuzi kwa vijana SFA kirefu chake ni Solution Focused Aproach,
Ikiwa na maana ya mbinu zinazotumika katika ushauri kwa mtu yeyote, mbinu hii humsaidia mshauriwa kutumia akili yake kufikiri kwa makini na kwa kina yeye mwenyewe juu ya tatizo lake, na kazi kubwa ya mshauri ni kumwongezea mshauriwa uwezo ili aweze kufikia Lengo lake alilojiwekea, Mbinu hii ina imani kuwa Mteja au mshauriwa ndiye mtaalamu, Na hivyo basi humsaidia mshauriwa kutambua fursa nzuri alizonazo ambazo zinaweza kumsaidia kuinua maisha yake ya kila siku
Jumla ya vijana wapatao 30 wasichana kwa wavulana wanaendelea na mafunzo hayo katika ukumbi wa Kivulini Isamilo Jijini Mwanza,Walengwa ni klabu mbali mbali za ndani na nje ya shule zilizopata mafunzo ya SFA na kusudio lao ni kufanya mapitio na tathimini ya shughuli zao walizofanya katika klabu zao mashuleni na nje ya shule kupitia elimu ya SFA.

Walianza kwa kila mshiriki kutoa nasaha zake kwa washiriki wote waliohudhulia kwenye warsha.
Washiriki wakimsikiliza moja ya mshiriki akitoa neno
Kijana akizungumza kwa hisia juu ya faida alizozipata kupitia elimu ya SFA
Moja ya mwendesha semina hiyo akiandika kila aliloeleza mshiriki kwa umakini kwa ajili ya ripoti
anaitwa Bi. Beata
anaitwa Bi. Beata
Ahadi za kila mmoja baadha ya kuwasilisha zilibandikwa ukutani ili kungojea kinachojili
Mwendesha semina Almaharufu Juma Ally mmoja ya vijana aliyepata mafunzo ya SFA nchini South Afrika kwa awamu zipatazo 2 akiwaelezea washiriki katika warsha hiyo malengo waliyonayo wao kama wahamasishaji wa Mbinu inayolenga tatizo.
Vijana wakifanya mchezo wa kuchora katuni ikiwa ni njia ya kuelezea michoro hiyo tangu waanze kutoa elimu kwa vijana mashuleni na mitaani mpaka walipofikia sasa Bi. Eli Z na Msazi
Kijana akiwa makini anachora michoro huku ametulia tuli.
0 COMMENTS:
Post a Comment