Watoto hawa nilikutana nao eneo moja jijini Mwanza linaloitwa Ilemela wakiwa wamevalia nguo zao za shule zikiwa ni kama vipande kwa kweli inatia huruma sana Jinsi watoto wetu wanavyosoma kwa tabu kuanzia kula mpaka mavazi ni tatizo kwa Watanzania
Wakiwa katika pozi watoto hawa yaan..!!
0 COMMENTS:
Post a Comment