June 23, 2011

ATHARI ZA KUONGEZA SEHEMU YA MWILI KWA WADADA

Hi | 2:31:00 PM |
Kwa kweli inasikitisha na inatia huruma kwa mtu kama huyu kuchukua maamuzi kama haya,Na hii ni kwa mabinti wote mjihadhali sana hili janga lililomkuta mdada huyu.

Wakati mwingine si vema unapoona kitu au kuskia habari yoyote mbaya hasa katika mazignira yaliyo na kithibitisho kinachoonyesha hali halisi, Huyu ni mdada mmoja wa nchini South Africa aliyeamua kutumia dawa za kichina kwa kuongeza sehemu ya mwili wake ikiwa ni matiti kama unavyoona pichani, Ki ukweli bado tuna wakati mgumu na tunakabiriana na mambo mengi ikiwa ni changamoto na ni sehemu ya maisha yetu, vishawishi ni vingi vinavyopelekea wadada wetu kubadili mawazo yao na kushawishika kuchukua hatua ya kuongeza nyama katika miili yao ikiwa ni pamoja na Matako, Matiti na vingine vingi nisivyovijua ikiwa ni kusudio la kutaka kuvutia mbele za watu, kweli ni aibu kilichomkuta mwenzenu, Pia ni sehemu ya kujifunza kwani leo kwake kesho kwenu jiandaeni mlio na mawazo finyu kama ya huyu msichana , Kwa sasa yupo Nchini India anafanyiwa Operation kubwa ya kupunguzwa nyonyo.

4 COMMENTS:

Anonymous said...

Masikini msichana sura nzuri ya kuvutia lkn duh!

Anonymous said...

Jamani anasikia raha au karaha??

Anonymous said...

Huyo ni muongo tu atakuwa amezaliwa nayo

DJ_NETTO_MIX - SLZ said...

ela é divinamente deliciosa. esse rosto lindo e esses lábios sensuais. Me apaixonei.
Me adiciona no msn: djnettomix@hotmail.com

Home of Technologies © Copyright 2010-2015 : Designed by : WebMaster