Jinsi unavyoona hapa ndio kwa babu wa Loriondo Live bila chenga ndugu zangu na hivyo ndivyo baadhi ya Vikombe ambayo hugawiwa watu kwa ajili ya kunywa na kuondoa aina zote za magonjwa ndani ya mwili, huyu dada ni mhudumu wa Babu. Karibuni sana
Ancle wangu nae Wiseman a.k.a Jomba hakuwa nyuma ndani ya Loriondo na akiwa amevamilia gwanda lake la Chama cha ......!! Karibu sana
1 COMMENTS:
Hogera sana Mungu Akubariki kwa wema wako daima
Post a Comment