Jijini hapo kama kawaida watu wanachapa rapa katika mihangaiko ya dunia
Kuna kivutio kizuri sana endapo ukifika Jijini Mwanza kuna booonge la samaki limetulia na linatema maji kama lipo Ziwani vile karibu
Na hivi ndivyo huonekana Mwanza katikati ya Mji wakati wa mchana hasa siku za jumamos na Jpili.
Hili ni moja ya Jengo lililopo Jijini Mwanza ambapo kuna Hotel nzuri sana inayoitwa Nyumbani Hotel Karibuni sana Mwanza
Ukija Mwanza na kama hukufanikiwa kufika sehemu hii inayotambulika kwa upande wangu nina imani utakuwa kama vile hujafika kabisa The lock city Mji wenye mawe mengi na hapa hujulikana kama Bismark
0 COMMENTS:
Post a Comment