February 7, 2015

ZUIA WATU WASIFUNGUE AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK AU EMAIL

Hi | 5:55:00 PM | |
KAMA HAUKUJUA BASI JUA KUWA

Kuna wakati hata kama mtu anayo PASSWORD yako ya FB au akaunti yako ya barua pepe bado hawezi kuingia kwa akaunti yako.

Unaweza dhibiti watu wengine wasifungue akaunti yako ya email au Facebook kwa kufuata huduma ya ku sign in mara mbili.

Yaani ipo hivi:

1. Mara ya kwanza una sign in kama kawaida kwa kutumia ID na PASSWORD yako, ambapo hivi ndio umekuwa ukifanya wakati wote.

Ila kwa huduma hii ya kusign mara mbili, ID na PASSWORD pekee hazikuruhusu kuingia kwa akaunti yako.

2. Utakapomaliza ku sign in , utatakiwa kufuata hatua ya kuweka CODE maalum ambayo utatumiwa kwa njia ya ujumbe mfupi kwa simu yako. Au la pengine tayari ulipojiandikisha kwa huduma hiiya kusign mara mbili, basi uliweza ku download CODES maalum ambazo ni wewe tuu ndio utaweza kuzitumia.
---Fuata maelekezo ya jinsi ya kutumia huduma hii ya kusign mara mbili kwa kubofya link hapo chini.


FACEBOOK KUSIGN IN MARA MBILI ...BOFYA   GMAIL KUSIGN IN MARA MBILI ........BOFYA

YAHOO KUSIGN IN MARA MBILI .......BOFYA

0 COMMENTS:

Home of Technologies © Copyright 2010-2015 : Designed by : WebMaster